Jjebaleko banyabo ne nassebo
Olunaku lwalelo luwede
Dah mnakumbuka waapi enzi zenu wale waliosoma shele kama
1.East High
2.Kawombe Memorial high school
3.Kinaawa pale Kyengela(Chengela)
4.Kawempe
5.Mashariki high school
6.Yesu Akwagala kule Kyamulibwa(Chamulibwa) masaka
7.Masaka sec
8.Gayaza High school
9.Makerere college school
10.Namilyango collegeSt.Mary's college Kisubi
11.Mengo senior school
Nambie mnakumbuuuuka nyieeeeee.....
Hahaaa enzi hizo wilayani kwetu watoto wa matajiri woote walikuwa wanasomea UG...baada ya kukua ndio nikatambua kumbe walikuwa wanakimbia mziki wa shule ya kibongo..