Mdushi,magomola,mwampome,magere,ngwenuke aka kuntu,e bana kumbe katunzi ni late??i ddnt know
Makunja alikuwa anafundisha pure maths A LEVEL.
Habari zenu wadau. Napenda tu tufahamiane japo kwa ID zetu hizo na kukumbushana ya nyuma kwakuwa ndio sisi tuliobaki na hakuna tena kizazi cha sasa cha Mazengo kwakua ni St. John University.
Binafsi nilimaliza miaka ya 2000 kipindi hicho head master Msasa baadae akahama akaenda Nsumba na nafasi yake ikachukuliwa na Mgohamwende.
Nakumbuka zile vujo ambazo zilitikisa Dodoma wakati wa Mashindano ya UMISETA Jamhuri Stadium,
Je unawakumbuka walimu hawa,.
Mshumbuzi, Kameme, Shabani, Mama Mwenda, Chakoo (RIP), Kabota, KIFUTU (aka), Katunzi (RIP), Ishengoma aka Askofu, Mama Kasira, Mama Ndeitabura, Chawala, Milali, Muta, Lwamo, Malima (wote wawili), Mwamunyi, Tete, Mwamfupe aka Unyamaunyama, Tembo, Sichone (RIP), Tandika, KIPATICLE (aka), Mshani, Elia aka TRIANGLE
Ongeza wengine ambao sijawataja na matendo yao ambayo hutayasahau.
Je Mazengo imekufanya ujivunie kusoma pale?
Wewe lazima utakuwa umemaliza mwaka 2000 coz hiyo intake ya 1997 ndio ilifundishwa na hao walimu katika masomo husika.Mama mwenda a.k.a mama wa kemia. Alikuwa ananipenda sana.
Usisahau mume wake mwl mwenda alikuwa either academic or displine master
Mwl Ruben pia akifundisha engineering science.
Habari zenu wadau. Napenda tu tufahamiane japo kwa ID zetu hizo na kukumbushana ya nyuma kwakuwa ndio sisi tuliobaki na hakuna tena kizazi cha sasa cha Mazengo kwakua ni St. John University.
Binafsi nilimaliza miaka ya 2000 kipindi hicho head master Msasa baadae akahama akaenda Nsumba na nafasi yake ikachukuliwa na Mgohamwende.
Nakumbuka zile vujo ambazo zilitikisa Dodoma wakati wa Mashindano ya UMISETA Jamhuri Stadium,
Je unawakumbuka walimu hawa,.
Mshumbuzi, Kameme, Shabani, Mama Mwenda, Chakoo (RIP), Kabota, KIFUTU (aka), Katunzi (RIP), Ishengoma aka Askofu, Mama Kasira, Mama Ndeitabura, Chawala, Milali, Muta, Lwamo, Malima (wote wawili), Mwamunyi, Tete, Mwamfupe aka Unyamaunyama, Tembo, Sichone (RIP), Tandika, KIPATICLE (aka), Mshani, Elia aka TRIANGLE
Ongeza wengine ambao sijawataja na matendo yao ambayo hutayasahau.
Je Mazengo imekufanya ujivunie kusoma pale?
Nimefuatilia nikaona kumbe inahusu vijana waliosoma Mazengo wakati wa dot.com
Sisi wa zamani kulikuwa na akina Mwakyembe, Puri au Suri (Singasinga), Mathew, Mlaponi, Former naibu waziri wa elimu - jina limenitoka kwa kwa sasa alikuwa mkali wa Physical Chemistry, Mkoba (head master), Msasa (second master) etc
Wewe leta uzoefu wako mkuu ili tujue ya zamani. Hao sikuwakuta mie. Mie binafsi niliingia pale 98.