Waliofanya usaili DUCE, Sekretariati ya Ajira

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Wadau salam,

Nauliza kwa wale waliofanya usaili DUCE wiki ya jana kwa kada mbalimbali,nimeskia kulikuwa na maswali ya research kwa wingi,je ni maswali gani yaliyokuwa yameulizwa?

Masada tafadhali.
 
Umepewa topic afu kuna baadhi ya vipengele unaulizwa mfano reseach question,statement of problem,research hypothesis na mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…