mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
nimekurupuka kiipi rafiki? kama unahitaji wewe tuma cv halafu uone.Acha kukurupuka weka jina la mwajiri na vigezo utaeleweka
mwalimu wa sekondari awe elimu ni diploma na kuendelea. kama wababaishaji wanatangaza kazi kwa mbwembwe lakini hakuna kitu. mimi nimetumia simple way mnaniona mzushi ndio maana wabongo huwa tunaibiwa na wavaa suti.Elezea mkuu, Ajira hazitangazwi mamna hii!
Duuuh kwa kweli kama wewe ni mwalimu! Pole sana naomba urudi darasani
huyo ndio anayehitajika sana mkuu, sio kijijini kiviile huduma za msingi zote ukienda na modem au simu yako ya kawaida unaingia kwenye majukwaa yote hapa jfWa maths na phys umempata,kama upo tayari nijibu hapahapa nikupe e-mail. Nina degree,degree nimesoma hesabu tu
NOTE; Kijijini sikai,labda umeme ,maji na usafiri uwepo mda wote! Wasije wakanimiss watu wangu JF
we ----- unataka sample ya CV ya ualimu ndo umeamua kuja kwa style hii.JIpange tena hueleweki na tangazo lako au unatafuta walimu wa TUition nini?