chuo kiko wapi? mkataba ukoje? terms zikoje? benefits zingine? jibu maswali hayo kiufasaha mkuu nikuunganishe na mwalimu wa secretarial na wa hm, wako certified na vttc morogoro, pia wapo vijana wa it wenye bachelor, terms zako tu mkuu.
chuo kiko wapi? Mkataba ukoje? Terms zikoje? Benefits zingine? Jibu maswali hayo kiufasaha mkuu nikuunganishe na mwalimu wa secretarial na wa hm, wako certified na vttc morogoro, pia wapo vijana wa it wenye bachelor, terms zako tu mkuu.