Walimu wa special needs tujadili yetu hapa

Joined
Mar 26, 2018
Posts
76
Reaction score
38
Walimu wa special needs njooni tubadilishane mawazo kuhusu career yetu
Je ajira za special needs zinapatikana ?
Ni changamoto gani za career hii
 
Ndomaana hawa watoto wanafeli sana walimu hatuandaliwi vizur na pia katika hizo shule ambazo zina hawa watoto walimu wenye ujuz wa kuwafundisha hawapo wengi au shule zingine hamna kabisa
 
Hongera mkuu
 
Mungu atawabariki tu ndugu zangu
 
Poleni sana...

Unaneni na Khadija Mwanamboka yule mwana mitindo...

Ana connection za hayo mambo ya special needs...

Cc: mahondaw
 
Nikitazama wanafunzi hawa wanavyofeli kwa kukosa walimu maalumu wa mambo hayo nabaki nmeshika tama na kujiuliza hivi serikali ina mpango gani na hawa watoto? Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…