Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 212
- 140
Siamini kama kwa mara nyingine nimekosa mkopo,kwani wakati nipo first year niliomba wakaninyima,nika appeal wakaninyima,nimeomba tena now holaaa,daah.
Sifa ninazo ila kila nikiomba wananambia budget haitoshii.
Wanacho nshangaza ni kitu kimoja kwa nini watoe chance za kuomba kwa wengi halafu nusu ya waombaji wote wakose??!!??
Nimegundua kuwa haka ni kamradi ka serikali kwani nimepiga hesabu wote tulio kosa mkopo
28,000*30,000=840,000,000 sasa hapo si mikopo ya chuo kimoja hiyo??!?!!
HAWAKO FAIR...wanachotakiwa watengeneze vigezo ambavyo havita fanya wengi waombe mkopo,mfano:kama ulisoma private o-level au advance,usijisumbue kuomba kwa zile non-priority..
KIUJUMLA HAKA KAMCHEZO NI KAKITEGA UCHUMI CHA KASERIKALI
siamini kama kwa mara nyingine nimekosa mkopo,kwani wakati nipo first year niliomba wakaninyima,nika appeal wakaninyima,nimeomba tena now holaaa,daah.
Sifa ninazo ila kila nikiomba wananambia budget haitoshii.
Wanacho nshangaza ni kitu kimoja kwa nini watoe chance za kuomba kwa wengi halafu nusu ya waombaji wote wakose??!!??
Nimegundua kuwa haka ni kamradi ka serikali kwani nimepiga hesabu wote tulio kosa mkopo
28,000*30,000=840,000,000 sasa hapo si mikopo ya chuo kimoja hiyo??!?!!
Hawako fair...wanachotakiwa watengeneze vigezo ambavyo havita fanya wengi waombe mkopo,mfano:kama ulisoma private o-level au advance,usijisumbue kuomba kwa zile non-priority..
Kiujumla haka kamchezo ni kakitega uchumi cha kaserikali
Ni kweli yapo chuoni na wengine tumeshasaini
Vp udsm yashawekwa?Ni kweli yapo chuoni na wengine tumeshasaini
St. john Continuous yaliwekwa mida. Watu washasain.Mbona majina ya continuous hayajatoka kabisa so wewe hizo taarifa za kukosa umezipata wap?maaana mpaka now watu wa continuous bado hawajashughulikiwa kabisa
ni kwamba kwa continous walioomba mwaka huu matokeo bado sikilizia mwezi wa kumi na moja
Vp udsm yashawekwa?
Siamini kama kwa mara nyingine nimekosa mkopo,kwani wakati nipo first year niliomba wakaninyima,nika appeal wakaninyima,nimeomba tena now holaaa,daah.
Sifa ninazo ila kila nikiomba wananambia budget haitoshii.
Wanacho nshangaza ni kitu kimoja kwa nini watoe chance za kuomba kwa wengi halafu nusu ya waombaji wote wakose??!!??
Nimegundua kuwa haka ni kamradi ka serikali kwani nimepiga hesabu wote tulio kosa mkopo
28,000*30,000=840,000,000 sasa hapo si mikopo ya chuo kimoja hiyo??!?!!
HAWAKO FAIR...wanachotakiwa watengeneze vigezo ambavyo havita fanya wengi waombe mkopo,mfano:kama ulisoma private o-level au advance,usijisumbue kuomba kwa zile non-priority..
KIUJUMLA HAKA KAMCHEZO NI KAKITEGA UCHUMI CHA KASERIKALI
Acha ubishi majina yapo vyuoni labda chako ndio bado,,,,
Mbona SUA tayari watu walisaini kuanzia Jana?!Chuo gan continuous yametoka?
Mbona SUA tayari watu walisaini kuanzia Jana?!
Kama majina bado hayajatoka,sasa lecture zinaendela au?i mean wanafuzi wanasoma bila boom na ada mpaka majina yatoke,bora vyuo viwe vinafunguliwa novemberni kwamba kwa continous walioomba mwaka huu matokeo bado sikilizia mwezi wa kumi na moja
Sory mstaarabu wa ukwee, ww pia unasoma ud?hayajabandikwa but yapo kwa loan officer,me mwenyewe nimejulia huko