Wale Wanaume mnaojifanya huwa mnakaba mpaka Penati Wake / Mademu zenu, hivi ndivyo huwaambia ' Michepuko ' yao mkiwa nao Majumbani mwenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Mkiambiwa kwamba hakuna Viumbe wenye akili na maarifa hapa Duniani kama Wanawake muwe mnakubali na acheni ubishi / ligi / bundesliga. Kama unadhani kama ukiwa na Mke au Demu wako Nyumbani Kwako hawezi kuwasiliana na ' Mchepuko ' wake katika namna ya ' Kisayansi ' na iliyotukuka kwa taarifa huwa unajidanganya bali wengi wao huwaambia hivi ' Michepuko ' yao tena wakati mwingine na Wewe ukiwa umekaa nae hapo hapo.

" Niko salama tu Mtumishi wa Bwana ni kwamba Malaika ametawala sehemu zote anailinda Nyumba yetu bila shaka Shetani leo hawezi kuingia wala kutoka Amina "

Shikamooni Wanawake wote Tanzania na Ulimweguni!

Nawasilisha.
 
Ahahaaaahaaa Ndo maana mama watot Wang hata akiomba nakua makin na maombi yake sana ,,,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£mbavu sina jaman uwiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…