Siyo kweli Magay hawavai magauni wala nguo za kike. Labda Machoko ya Bongo na Mombasa. Elton John, Tim Cook na Anderson Cooper magay maarufu utawatambua kama siyo kujitangaza? Wanatinga kiume kabisa kama wa baba rijali. Waache hawa wanafanya tu sanaa.Hawa ndio wamechochea ugay tuuone ni normal
Watu kama hawa unawakuta busy wanashabikia Tyler Perry akiwa kama MadeaSiyo kweli Magay hawavai magauni wala nguo za kike. Labda Machoko ya Bongo na Mombasa. Elton John, Tim Cook na Anderson Cooper magay maarufu utawatambua kama siyo kujitangaza? Wanatinga kiume kabisa kama wa baba rijali. Waache hawa wanafanya tu sanaa.
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.
Joti next .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hao ni akina nani?Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani hajawahi kuboa, anapatia mpaka anakera, yani alazimishi kuchekesha wala hatumii nguvu, yani ukimuona tu kabla hajafanya lolote lazima ucheke mbavu. Huyo mama Ima kama kweli yupo basi anamtendea haki sana . Yani anavyoongea , tabia, action kama mwanamke. Mungu aendelee kubariki kipaji cha huyu jamaa, maana anajua kukonga nyoyo zetu.
Joti next .
Sent from my iPhone using JamiiForums
ungekua mwanaume usingecheka ungeona ni ufala