fortuneless
Member
- Jun 8, 2016
- 95
- 49
Usiropoke kwa Kuwa Hukwenda More than 100 Companies I applied many as I can hata hiyo Beny-Bill nimeshaisahau siyo rahisi kama hujui kaa kimyaa tuu mkuu.Yaani umeshakosa kazi kabla hata interview
Mhitimu wa chuo unashindwa ku maintain diary?utafanyaje hiyo kazi ulioitiwa
Unaonekana unatuma kama vile unakata bahati nasibuUsiropoke kwa Kuwa Hukwenda More than 100 Companies I applied many as I can hata hiyo Beny-Bill nimeshaisahau siyo rahisi kama hujui kaa kimyaa tuu mkuu.
Hakuna kitu kaka,watu wanasomea kupasi mitihani tu,unaletewa degree holder umpe kazi tena alioisomea kuandika karipoti kafupi tatizo,huyu labda iwe kampuni ya kuchimba vyoo watamkubali hayupo serious kabisaMdogo wangu,
Chukua details hizi
Beny Billy Construction Limited,
P.O.BOx 105333,
Phone: +255 762 345 678/ 0744 556 666
Email: anshuai0314@gmail.com
Plot No. 46/3/16 Nyerere Road.
Note: Ushauri wa kutunza kumbukumbu uliopewa hapo juu ni wa maana sana.
Hakuna kitu kaka,watu wanasomea kupasi mitihani tu,unaletewa degree holder umpe kazi tena alioisomea kuandika karipoti kafupi tatizo,huyu labda iwe kampuni ya kuchimba vyoo watamkubali hayupo serious kabisa
Acha Ujinga he asked anayeifahamu siyo anuani au kuelekezwa sehemu ilipo! Kwa sababu alishaelezwa wakati anaitwa wewe ndo huelewiHakuna kitu kaka,watu wanasomea kupasi mitihani tu,unaletewa degree holder umpe kazi tena alioisomea kuandika karipoti kafupi tatizo,huyu labda iwe kampuni ya kuchimba vyoo watamkubali hayupo serious kabisa
[quote uid=37143 name="kabombe" post=16619385]Hakuna kitu kaka,watu wanasomea kupasi mitihani tu,unaletewa degree holder umpe kazi tena alioisomea kuandika karipoti kafupi tatizo,huyu labda iwe kampuni ya kuchimba vyoo watamkubali hayupo serious kabisa[/QUOTE]<br />Acha Ujinga he asked anayeifahamu siyo anuani au kuelekezwa sehemu ilipo! Kwa sababu alishaelezwa wakati anaitwa wewe ndo huelewi ilibidi umueleweshe kampuni inafanya nini inalipaje siyo kuleta ushuzi.Ndio wadogo zetu hao, sijui wanajifunzaje huko chuoni.
[quote uid=112987 name="jerrytz" post=16730229]Ndio wadogo zetu hao, sijui wanajifunzaje huko chuoni.[/QUOTE]<br />[quote uid=37143 name="kabombe" post=16619385]Hakuna kitu kaka,watu wanasomea kupasi mitihani tu,unaletewa degree holder umpe kazi tena alioisomea kuandika karipoti kafupi tatizo,huyu labda iwe kampuni ya kuchimba vyoo watamkubali hayupo serious kabisa[/QUOTE]<br />Acha Ujinga he asked anayeifahamu siyo anuani au kuelekezwa sehemu ilipo! Kwa sababu alishaelezwa wakati anaitwa wewe ndo huelewi ilibidi umueleweshe kampuni inafanya nini inalipaje siyo kuleta ushuzi.Hakuna kitu kaka,watu wanasomea kupasi mitihani tu,unaletewa degree holder umpe kazi tena alioisomea kuandika karipoti kafupi tatizo,huyu labda iwe kampuni ya kuchimba vyoo watamkubali hayupo serious kabisa