Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
ni shida sasa wakulima wadogo wenye nusu heka watafanyajeHilo la mbolea ya kupima mbona nasikia serikali ndo imetilia mkazo? Kwamba sheria hairuhusu kuuza mbolea ya kupima kwani inapoteza nguvu kwa kuachwa wazi...ila bei ya mbolea kwa mfuko haikamatiki, mbolea kama SA na CAN tulizoea bei za chini kwa sasa 50,000 wakati mwezi September mwaka Jana ilikuwa 32000/ kwa SA.
Ni vurugu tupu mkuu...wanasema eti wachangiane!ni shida sasa wakulima wadogo wenye nusu heka watafanyaje
Nilikuwa nahitaji kilo 315 ya UREA imekuwa ngumu sana kupata yani napata kilo 300 ambayo ni mifuko 6 sasa iyo 15 naipata wapi vinginevyo nichukue kilo 25 ila ile kumi itakayo baki basi tena nijue pa kuipeleka ila bei sasa ndo ngoma na mifuko ya kilo 25 ndoma kuipata haipatikani kwa urahisi.Ni vurugu tupu mkuu...wanasema eti wachangiane!
ukiambiwa watu wakalime basi hakikisha mbolea, dawa na trekta vina ushuru mdogo, serikali ilitangaza kuwa tozo zote kwenye mbegu ziliondolewa lakini wauzaji wana kisingizio kuwa mbegu waliyo nayo ni stok ya zamani ambayo walikuwa wameshalipia zile tozo ila Waziri wa Kilimo ajue kwamba wanasiasa hawana mashamba na hawamo kati ya wakulima wadogo watuache.Kumbe kulima si mchezo.
Alafu wasio na ajira wanaambiwa wakalime.
Hivi uwanja wa ndege si ndio mahitaji yenu wanachato? Tumieni uwanja kuulia waduduKWA MARA YA KWANZA MWAKAHUU KWA WAKULIMA WA PAMBA TUMETUMI GHARAMA KUBWA NA WADUDU HAWAFI..SISI HUKU WILAYA YA CHATO NDO TUMEOPPIGWA HASARA NA DAWA ZISIZOUA.TULIKUWA NA DAWA NZURI UNAPULIZA MARA TATU LAKINI MWAKAHUU KWA EKARI MOJA NIMEPULIZA MARA KUMI NA HAKUNA KITU WADUDU WANAENDELEA KUTOBOA MATUNDA.BODI YA PAMBA NA TPRI WANATUDANYA TU KUWA ETI TUNAKOSEA KUPUULIZA..TUMEWAMBIA WACHAGUA SHAMBA MOJA WALIPUULIZE NA KULISIMAMIA KWA MWEZI TUONE MATOKEO HAWATAKI..WAKULIMA WA PAMABA MWAKAHUU NI HASARA KUBWA SANA
kwa garama hizi za sasa hivi jaribu uone.kijijini kwangu, unapanda vizuri kesho unakuta panya wamefukua na kula mbegu zote za mahindi.
hutakiwi kukata tamaa, ila kuboresha mbinu za kupambana na changqmoto.
KWA MARA YA KWANZA MWAKAHUU KWA WAKULIMA WA PAMBA TUMETUMI GHARAMA KUBWA NA WADUDU HAWAFI..SISI HUKU WILAYA YA CHATO NDO TUMEOPPIGWA HASARA NA DAWA ZISIZOUA.TULIKUWA NA DAWA NZURI UNAPULIZA MARA TATU LAKINI MWAKAHUU KWA EKARI MOJA NIMEPULIZA MARA KUMI NA HAKUNA KITU WADUDU WANAENDELEA KUTOBOA MATUNDA.BODI YA PAMBA NA TPRI WANATUDANYA TU KUWA ETI TUNAKOSEA KUPUULIZA..TUMEWAMBIA WACHAGUA SHAMBA MOJA WALIPUULIZE NA KULISIMAMIA KWA MWEZI TUONE MATOKEO HAWATAKI..WAKULIMA WA PAMABA MWAKAHUU NI HASARA KUBWA SANA
Miaka nenda rudi tunatumia vibaba mhenga, sema wabongo bado sana kila kitu kama mikondoo mitamba tu, wacha vikaze zaidi!Hilo la mbolea ya kupima mbona nasikia serikali ndo imetilia mkazo? Kwamba sheria hairuhusu kuuza mbolea ya kupima kwani inapoteza nguvu kwa kuachwa wazi...ila bei ya mbolea kwa mfuko haikamatiki, mbolea kama SA na CAN tulizoea bei za chini kwa sasa 50,000 wakati mwezi September mwaka Jana ilikuwa 32000/ kwa SA.
Wewe sasa unawaamsha waliolala unamjua pogbaHivi uwanja wa ndege si ndio mahitaji yenu wanachato? Tumieni uwanja kuulia wadudu
Hao panya dawa yao ni kuwala tu!, hivi huko kwenu hakuna watu wanaokula panya?, waalikeni Wamakonde wawasaidie kuwapunguza.kijijini kwangu, unapanda vizuri kesho unakuta panya wamefukua na kula mbegu zote za mahindi.
hutakiwi kukata tamaa, ila kuboresha mbinu za kupambana na changqmoto.