“Hili suala la Yanga kuweka mabango hata mimi nimeliona , kisheria sioni madai yoyote ambayo Simba anaweza kuwa nayo dhidi ya Yanga ,Yanga wamechukua video ambayo imetengenezwa na Azam TV “
“Mwenye umiliki wa hayo maudhui ni Azam TV, TFF na Bodi ya ligi wameuza maudhui yote kwa Azam TV na wao wana exclusive right,”
“Ukija kwenye uwanda huo Yanga wametumia maudhui ya Azam TV ,mtu ambaye anaukaribu na hili ambaye angeweza kuda chochote ni Azam TV kama Yanga wameyatumia bila idhini”
SportsXtra | - Wakili Lugomo /Wakili kutoka ofisi ya mawakili ya Mzizima Advocates
NB: makolo njia iliyobaki ni kuandamana tu
View attachment 2815178