Wakili msomi Mwabukus ndio anamtetea Pastor Mwakipesile mahakamani! Hapa lazima Siasa zijipenyeza.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,757
143,210
Kuna wakati miaka ile ya 1990s ilikuwa kila anapokamatwa Mchungaji Mtikila RIP wa DP basi Wakili msomi Nyaucho Mabere Marando wa Nccr Mageuzi Ndiye aliyekuwa akimtetea pale Kisutu

Tumetoka mbali sana

Mtikila RIP alipendelea kuwaita Watu fulani fulani kwamba Wana " Unyani Unyani"

Hii nchi we tosheka tu na upatacho kihalali

Nawatakia Sabato njema 😀🌟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…