Wakili Maduhu: Ukimpiga picha na kumpost mwanao 'status' unafanya kosa

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
354
Reaction score
1,042
Your browser is not able to display this video.

Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ameeleza kuwa Sheria ya Mtoto nchini Tanzania inakataza upigaji picha za watoto na kuzichapisha mitandaoni kwa sababu ya kulinda faragha za watoto hao.

Akizungumza leo Machi 19, 2026, kupitia kipindi cha Jambo Asubuhi kinachorushwa Jambo TV, Wakili Maduhu amesema amewatahadharisha wazazi kuwa kupiga picha watoto wao na kuzichapisha ni kinyume cha sheria.Aidha, ametoa wito kwa mamlaka husika kufuatilia matukio haya kwani yamekithiri nchini.
 
Hii Sheria ikisimamiwa vyema, serikali itapata maokoto sana toka hujo FB, Instagram, Tiktok na etc
 
Sasa hata kumuweka mtoto wangu Whatsapp profile napo ni nongwa, hatari sana,wanataka kuyafanya maisha yaweza magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…