Duh...,
As for kama ni kweli au uongo siwezi kujua sababu sijasikia au kufanya research
Kuhusu wewe kusepa kwa kweli hakuna anayeweza kukushauri bali wewe mwenyewe kama unaona ni furaha au kero ya kuwa nae (by the way sample ya research uliyofanya ni wangapi kutoka pande hizo)