they look good together, to each his own.. Sisi hizi relationship zetu wenyewe zinatushinda, kama hao wana prefer same sex marriage na they have found happiness there, then who are we to start judging. Kile ambacho huwa hakinifurahishi ni pale hawa ma lesbians wana force wenzao kushiriki kwenye ngono nao, kama kisa wiki jana msichana wa Highschool ali gang rapeiwa na wenzake, ilikuwa hadi kwenye news na akaumizwa vibaya.. Licha ya hiyo, wacha wajienjoy, life is hella short.