Lift si lazima iwe ya gari , au kupandia ghorofa! Mke , Rafiki , Jirani akikuomba simu yako atume msg nayo ni lift .
Mlengwa hapa ni mke !
Mkeo anakuomba lift , then anaanza kupiga na honi !
Honi hapa ni hawa wake zetu , kabla hajatuma msg ukishampa simu , anaanzia "sent items" !
Wosia wangu nyie wake , mkitaka tubaki tunawalea wenetu ndoani , achaneni na sent items za waume wenu !
Pekuapekua sent items za wanaume wenu ni mithili ya kuvuta fegi Caltex , Oil com , Gapco , Agip , Shell etcetera !
Kwani wewe hupekui sent items ya nduguyo mnaechangia shuka ?
Lift sio lazima iwe ya gari,au kupandia ghorofa,mke rafiki , Jjrani akikuomba simu yako atume message nayo ni lift Mlengwa hapa ni mke.
Mkeo anakuomba lift , then anaanza kupiga na honi.Honi hapa ni hawa wake zetu, kabla hajatuma message ukishampa simu , anaanzia "sent items" .
Wosia wangu nyie wanawake, mkitaka tubaki tunawalea wanetu ndoani ,achaneni na sent items za waume wenu.Pekuapekua sent items za wanaume wenu sio vizuri.