Wakazi wa Tukuyu

Neriah

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
267
Reaction score
103
ninaomba kama kuna mwana jf yoyote anayeishi tukuyu tutafutane ili tuwe tunabadilishana mawazo ikiwezekana kushirikiana kwa mambo mbalimbali kama vile sherehe, misiba na harusi, kwa yoyote tutafutane kupitia namba 0788125686
 
Mmh kubadilishana mawazo, hapa Jf hapatoshi mkuu? Tky kwetu
 
Kweli uhuru wa maoni, bilashaka we ni mwalimu wa ckuiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…