Watu wengi wanashindwa kukubaliana na mtokeo hasa pale umli unakuwa unasonga, niseme kidogo hapa, kuna wakati ukikutana na mtu mnasalimiana anakwambia habali za masomo?
Hapo ujue wewe bado ni mdogo, kuna wakati mtu anakuuliza umeo?\umeolewa? Ujue wakati umfika wa kuoa\ kuolewa, kuna wakati wanauliza shemeji mzima? kama haujaoa fikilia mala mbili, kuna wakati wanauliza watoto hawajambo?
Hapo kama haojaoa kuna hatari ukaangukia kwa mapadri, kuna wakati shikamoo zinakuwa nyingi hapo ndipo wengi utasikia unaninyima nini? Kumbuka wakati ni ukuta fanya mambo kwa wakati.