jibril JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 594 Reaction score 243 Jun 11, 2017 #1 KWA MAWAKALA WOTE :Nasikia kuna tetesi kuwa kwa wale MAWAKA ambao hawafanyi miamala na WAKALA MKUU till zao zitafungwa mwezi huu.. naomba kujuzwa kwa hili
KWA MAWAKALA WOTE :Nasikia kuna tetesi kuwa kwa wale MAWAKA ambao hawafanyi miamala na WAKALA MKUU till zao zitafungwa mwezi huu.. naomba kujuzwa kwa hili
Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,076 Reaction score 1,579 Jun 11, 2017 #2 Ukipata jibu sahihi tujuzane.