Wajomba na kashfa za ubakaji

Tronics guru

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
10,446
Reaction score
8,085
Habari zenu wakuu
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na visa vingi sana vya ubakaji na watuhumiwa wakubwa wamekuwa ni wajomba .Naomba mnisaidie uhusiano uliopo kati ya watu hawa na ubakaji kwa watoto wadogo[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Da killer's
 
Mabinti Na Watoto Wengi Wamekua Wakiwaita Wanaume Wakubwa Uncle Hata Km Co Blood Uncles Kwa Kutambua Kuwa Wana Umri Sawa Na Wazaz Wao Au Mama Zao. Na Huwaita Hvyo Labda Kutokana Na Ukaribu Wa Hao Ndugu Na Familia Hasa Kufahamiana Na Mama Zao, Au Wanatoka Kijiji Kimoja. Na Huu Undugu Wa Kutoka Kjj Kimoja Unaharibu Familia Nyingi Mke Anasema Huyu Kaka Kwakua Wanatoka Sehemu Moja, Wengine Wanaanza Kuchukuana, Ucombe Wawe Kabila Ambalo C Lako Au Wawe Wa Mikoa Flan Hv, Utajuta.
 
Hamna uhusiano wa moja kwa moja ila ni tamaa za hao wajomba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…