wajanja night Vodacom

best bestest

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
12
Reaction score
1
kama kuna anaejua wajanja night imepatwa na nini,? maaana hii wiki sasa nikijiunga naambiwa salio halitoshi wakati limezidi mara 3 zaidi
 
Pia mm ilinambia hivyo nlipoweka Tsh500. nkatumia akili yakuzaliwa nkaweka 600 ikakubali. hata Jana pia Nmetumia.
 
hadi mwezi wa nne ufike itakuwa buku taratibu..
 
Kujiunga 500 tu ila unatakiwa angalau uwe na mia 501
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…