Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
huku umeweka jicho tu na haha kutafuta simu yako...
ajali kazini...😉[emoji3] utaja paramia majini angalia
Hahahaha kumbe unawajuaKingereza chenyewe hawajui. Wakija dm utasikia "send you are pussy /show"
Si ulifungua kutafuta wayeja au?
Wanawake bhana.. si ulifungua kutangaza biashara? si ukaweka na sura?? wateja wanakuja unawablock.. Aisee..!
[emoji16]ajali kazini...😉
😎[emoji16]
Ni wachache wahindi au waarabu wanapagawa na rangi nyeusi asilimia kubwa wanaidharau ila sema wanaona its cheap na wanajua nyie mnababaika na colouredHahahaha kumbe unawajua
Wana genye sana kuliko waafrika au?
Siwaelewi
Huko kwao wanawake ni pungufu au rangi nyeusi inawapagawisha?
Fungua Account yako.. Hao wahindi(Japo wengi sio wahindi ni watu wa Bangladesh) usi accept request zao ziwe za urafiki au message.. Accept Request za watu ambao biahsara zako zinaweza kuwafikia..Biashara ya nguo.. Ningepataje watu bila picha?
Ila sasa watu wenyewe waliokuja na walivokuja
Lipia Tangazo humu jf