specifications zake:
HDD ni 320GB, processor ni celeron(R) dual-core CPU T 3300 @2.00GHz, OS ni windows 7, screen ni 15.6 inch. Battery inakaa masaa 4.
Ipo katika hali nzuri,napatikana maeneo ya Dar es Salaam. Nicheki kwa +255 762 986 611
Muonekano wa laptop katika pande tofauti..
View attachment 53949 View attachment 53950 View attachment 53952 View attachment 53953
Adaptor/charger yake
View attachment 53951
Battery yake
View attachment 53954
aya kaka, bei ni 700,000 tuweka bei hapa mtu aamue moja, haya mavitu yamejaa kila kona mitaani sidhani kama kuna haja ya kupiga number yako wakati sijaona wala sitegemei unafuu wowote kwako. kuna biashara ambazo ukiweka hivi lazima upate call za kutosha.