Waheshimuni wanawake kwa ubunifu!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394


Urembo kwa mwanamke hutafutwa kwa njia nyingi, na hii ni mojawapo ya ubunifu ambao unatuwezesha kupata muonekano mpya.

Wanawake bila kuwezeshwa tunaweza.
 
Yaani aliyempachika hayo makitu mzee wa watu amepinda. Si ajabu bibi hata hajui ni nini hicho wala kazi yake.
 
Yaani aliyempachika hayo makitu mzee wa watu amepinda. Si ajabu bibi hata hajui ni nini hicho wala kazi yake.
Kaunga umekosea anajua kabisa anachokifanya wala siyio kupachikwa bila kujua, ndiyo mambo yanurembo hayo.
Hukumbuki mambo ya kalikiti lakini
 
Hapo hajachanganya na akili zake,loh!
 
hiyo inaitwa bangi mbangue!! anatumia kitu cha arachuga huyo!
 
Anatumalizia vitendea kaz tu......hana tofauti na wanaotumia vyandalua kuvua samaki
 
tena mafuta yake yanafanya nywele kulainika sana, bila kukatika, zaidi sana yanafanya kichwa kutokuwa na mba, na kuondoa upatikanaji wa mvi wa mapema, mjini kila mtu baby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…