Abbitto JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 547 Reaction score 757 May 12, 2019 #1 Jamani tuna ugeni mkubwa hapa kutoka China zaidi Wa watalii 300 namuona hapa wazir kigwangala anatafsiriwa kichina. Ndio wameshuka na lidege LA Ethiopia,fursa Kwa wale walioko huko
Jamani tuna ugeni mkubwa hapa kutoka China zaidi Wa watalii 300 namuona hapa wazir kigwangala anatafsiriwa kichina. Ndio wameshuka na lidege LA Ethiopia,fursa Kwa wale walioko huko
Dripboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 3,178 Reaction score 4,608 May 12, 2019 #2 Anatukanwa kichina kingwangala kaulizwa mzee kaka zako wako wapi? Wale wa gombe mtafsiri naona anampotosha ππππ (kidding)
Anatukanwa kichina kingwangala kaulizwa mzee kaka zako wako wapi? Wale wa gombe mtafsiri naona anampotosha ππππ (kidding)