Waeleweni wake zenu

wengi wanaolewa kwa mchanganyiko wa sababu. malengo hudetermine umri wa ndoa
 
primitive way of thinking....

I don't really care. The fact of the matter is women keep moving the goal post. I am pro-life, pro-traditional marriage (defined as being between a man and a woman), and I believe that men are the heads of family. Any woman who thinks they can replace a man should start by trying to pee while standing, then we will take it from there. Mnaharibu watoto kwa elimu na hela zenu kuwajaza viburi watoto wa kike matokeo yake hawaolewi bali wanazalishwa tu na kuongeza unwanted street children. It's wroooong Linguistics, it's just wrong!! ha ha ha
 
nakupa like zote za dunia nzimaaaa, very true
 
tunabadilika kulingana na upepo unavyovuma ni kama akili vile inavyo change ukikuta mtu ana demand kitu kile kile kila siku ni shidaa...
 
He! ukristo upi huo? yaani ndoa ya kikirsto hutakiwi kujua mkeo anataka nini? usijidanganye wewe ........
 
tunabadilika kulingana na upepo unavyovuma ni kama akili vile inavyo change ukikuta mtu ana demand kitu kile kile kila siku ni shidaa...

Unaamaana kuna wakati utapenda kuheshimiwa, na kuthaminini na kuna wakati utafurahia kudharauliwa??? Haijakaa sawa hii; sio kila kitu kinabadilikaga
 
hii inaweza kuwa na ukweli lakini jinsi ganiutajua sababu ya mwenza kutaka kuingia kunako ndoa? manake nahisi ni muhimu kujua sababu kabla hujaingia ndoani.

Ni vema kabla hujaingia ukawa mchunguzi kwa mwezio. Pamoja na kuwa kuna vitabia vitajificha lakini viko utakavyogundua, kwa mfano mtu anayetaka kuolewa na wewe sababu tu una pesa, au anayetaka kuolewa ili atoe mkosi n.k.
 
He! ukristo upi huo? yaani ndoa ya kikirsto hutakiwi kujua mkeo anataka nini? usijidanganye wewe ........

wee vp? Lengo la ndoa ndilo hilo. Mkishakuwa mwili mmoja, hayo mengine yote yanakuja yenyewe kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake katika ndoa; mwanamme atampenda mkewe, na mwanamke atamweshimu mumewe. Wakishindwa kutimiza wajibu, ndipo wanaanza kudai haki zao, na kuvurugana na kuonekana kuna k2 kmemc
 
Nimeielewa vizuri the last sentence.
 
Unaamaana kuna wakati utapenda kuheshimiwa, na kuthaminini na kuna wakati utafurahia kudharauliwa??? Haijakaa sawa hii; sio kila kitu kinabadilikaga

umepeleka episode mbele sidhan kama hio ilikuwa maana yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…