Hawashawishiki kirahisi wanaona umepitwa na wakatiSuala sio kushauri tu, ukiona dogo anakaza kichwa mshawishi !
Wanakuja kushtuka too lateExperience is the best teacher. Sasa hivi wamejifunza vizuri kuliko wangekubali kuishi mawazo yako.
Kilichobaki ni biashara lakini naamini wamejifunza kituSasa si uwashauri tena kama wewe mshauri mzuri kuja huku hakuwasaidii chochote
Weka picha hao mademu tuwaone hapa
Nimecheka kama mazuri yaani. Lkn elimu ya bongo (nadhani Afrika nzima) waliyo iandaa Mungu ana waona.. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya.
Bado tegemezi hasa huyu wa IFMKuna vitu wamepata vichwani zaidi ya hizo ajira.
Ivo vitu vina faida gani km maisha yao bado Magumu, wanaishi kwa utegemezi!Kuna vitu wamepata vichwani zaidi ya hizo ajira.
Cc @ Mahondaw????Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Bookish education inatuathiri sana, miaka 23 minumum unatoka chuo huna physical expirience yoyote unaja kupambana na ulimwengu.Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya. Sasa hivi anafundisha history kwenye vishule vya mtaani na malipo kiduchu.
Wa pili mdogo wangu kabisa nilikuwa naishi nae tangia sekondari. Alipomaliza form four nikamwambia dogo una C tatu za science tukupeleke Clinical, hapana nataka biashara. Basi kaenda A level kamaliza chuo IFM na hakuwa na loan. Tumemlipia Ada hadi meals. Kozi aliyosoma sijui inaitwaje mambo ya Risk management and insurance sina uhakika sana.
Kamaliza 2018, hajawahi kusikia kazi zao zimetangazwa popote hadi leo. Amebaki na mipango mingi isiyotekelezeka mara ana mpango wa kuanzisha kampuni ya bima mara anataka kuwa agent wa bima mambo meengi Ila shilingi mfukoni hana.
Mtusikilize wakubwa tumeona mengi.