Wadau wa korosho

chumauleete

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Naomba mnisaidie wadau, niliuza korosho kwa mfumo wa stabadhi galani tanngu tr 15sept mpaka leo jamaa niliemwachia anasema bado hawajalipwa ! Hali ikoje huko mtwara?
 
Tanzania bana, hivi unafanya biashara kwa stabadhi, tokea lini ukaambiwa huo ndio mfumo bora. Hivi kwanini msivunje hiyo bodi ya Korosho na kuachana na kizungu mkuti kinacho fanywa na hiyo bodi kama nchi nyingine? Mbona Tanzania mnapenda sana kuutukuza umaskini?
 

Wewe si mtanzania? Labda swali hujalielewa, au sio mdau;
 
Wewe si mtanzania? Labda swali hujalielewa, au sio mdau;

Umesha wai linganisha wauzaji wa Korosho wa VietNam, India, Ghana na Watanzania? Nani wanalia kila Mwaka. Hivi, kuna ugumu gani wa kujifunza kwa watu wanao fanya hiyo biashara kisawasawa na kuachana na ubutu utwana wa Bodi ya korosho inayo walia fedha zenu kila mwaka. Where is the free trade kama Bodi ndio inayo nunua Korosho kwa Fedha Hewa na kuwapa maneno matamu eti tutakuuzia katika Mnada kama vile wewe Mkulima hujui kuuza. Huoni msururu unapo zidi ndio na bei inapanda na wanunuzi wanaingia mitini. Hilo ni swali la PhD mpaka niulize? Korosho zenu za mwaka jana zingine si zimeozea ghala pale Dar. Can't you guys learn from that?

Hivi ulisha jiuliza mkwanini ile Bodi ya Kahawa ilifariki? Au ile ya Chai? Mbona mnapenda sana kutukuza Umaskini?
 

Mpaka sasa hali ikoje huko mtwara? Kama unajua nijulishe mkuu;
 
Hali bado ni mbaya kama juzi na jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…