Slim Senior Member Joined Nov 12, 2008 Posts 185 Reaction score 273 Mar 5, 2014 #1 BOT usaili vipi kwa anayejua undani?
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Mar 5, 2014 #2 Watu wameulizia kuhusu hiyo mambo mpaka wamechoka wamekaa kimya, wewe umeanzisha tena, sijui kinachoendlea mdau apps zilikuwa zaidi ya 50000 hvyo inawachukua muda mrefu kidogo, endelea kusubili mkuu.
Watu wameulizia kuhusu hiyo mambo mpaka wamechoka wamekaa kimya, wewe umeanzisha tena, sijui kinachoendlea mdau apps zilikuwa zaidi ya 50000 hvyo inawachukua muda mrefu kidogo, endelea kusubili mkuu.