Mbona hujasema ya gari gani na engine code.
Taja aina ya gari ndugu, kama una chassis number, ni rahisi zaidi.
Okay. Ya mwaka gani?Aina ya Gari ni Noah 7K Townace. Dah nina limited info kuhusu chassis number kwa muda huu nipo mbali na gari.
Jamaa hana aina hiiMcheki mshikaji anaitwa @Jerryspears View attachment 913966
Jamaa hana aina hii