Wadau Karibuni Vina Hotel Ltd!!!

Yani labda tax ikuingize mpaka ndani ya fensi, la sivyo ukijidai mjuaji eti ushukie nje.... Utajutia kichokupeleka hapo? Wanakaba balaa watoto wa manzese
 
Nimekwenda Vina Hotel kweli nimeridhika na roho yangu.
Nilimuuliza meneja kwanini mwenye hotel kaamua kweka pesa yake nyingi sehemu ya uswahilini lakini nimepata jibu kumbe watu wengi wastaarabu wanaotafuta maficho wanafanya reservation pale.
Kulikuwa kumejaa vyumba vyoye siku ya jumamosi ya tarehe 30 Nov, 2013.
Tulikuwepo honeymooners zaidi ya 12 tuliolala pale.
Chakula safi na huduma murwa. Kweli waswahili tunaweza.
Big up Vina.
Advise: Weka usafiri vituo vya magari ya mikoani na air port.

 
Normally the issue is not Friday but just how and where do we treat it! Meet colleagues & age mates, friends & ex friends, only at the unique rooftop Mawenzi Summit, at Vina Hotel Ltd, the home of hospitality. “Let’s pop & cheer the sunset live tonight”!!!
 
Normally the issue is not Friday but just how and where do we treat it! Meet colleagues & age mates, friends & ex friends, only at the unique rooftop Mawenzi Summit, at Vina Hotel Ltd, the home of hospitality. "Let's pop & cheer the sunset live tonight"!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…