Bleed si unajua mzunguko wako unajiandaaSasa ikitokea ghafla ,ana bread inakuaje?
Nipo hapa napigwa na upepo tuHahaha
Bleed si unajua mzunguko wako unajiandaa
Wewe au bi shunie anayepigwa na upepo?Nipo hapa napigwa na upepo tu
Me si ndio shunie jamanWewe au bi shunie anayepigwa na upepo?
Fahari ya macho anaiona shemeji yakoRuksa fahari ya macho!
Hahahaha, hayaMe si ndio shunie jaman
HahahahahaWanatuumizaga Tuuu Hao Viumbe
Yan Mim Wakinipitia Mbele Yangu Lazma Mashine Isimame
Waacheni jamanii jotoo mjini hapa.
wewee unastahili kuwa mke wangu...Imepenya hiyoooooo
Khaaaawewee unastahili kuwa mke wangu...
inabidi nianze mchakato waallah nimekupenda ghafla...
Kuwatesa wapi unapiga jicho moja kisha unageuza shingo nakuendelea na shughuli zakoMumu huoni kuwa wanatutesa