Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Ata kuomba inafaa kuonmba kilichomo ndani ya huwezo wake.Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Asee sanamu lako tuliweke wap BUNGENI au stend mpya ya Magufuli kila abiria alione?Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Jidanganye mkuu ukiona hivyo jua hajaolewa akiolewa anabadili mahubiri..😂Asee sanamu lako tuliweke wap BUNGENI au stend mpya ya Magufuli kila abiria alione?
Nyie ndio wanawake wenye akili
Umeanza vizuri lakin hapo kwenye "raha ya mwanaume kuchunwa" hiyo ni nothing but pathetic excuseHappy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa shoka .
Ambaye unajitahidi kutafutia riziki nakujitunza mwenyewe so huna mpango wa kuomba hela kwa muhusika hiyo inaitwa UNAJIKOMBA NA WALA HATOJALI UNACHOFANYA.
Raha ya mwanaume kuchunwa kuchunwa kupewa majukumu.
Sio unamlipia kodi , unamlisha , unamvisha watoto unawasomesha yeye anapeleka hela wapi??
Na asubuhi unavyo mwandalia chai asubuhi anaenda kutafuta riziki ni yanani kwa sababu ipi.
Mwenzenu kafa kisa kujikomba alidhania kujituma hadi basi ndio zawadi kumbe hawara ndio kapewa nyumba na gari jipya.
Yeye kaachwa nyumba yakupanga.
Ya udongoo.
My intake acheni kujikomba mwanaume mpe majukumu ndio maana yupo duniani .
Anakuchafua/unamlisha/unamfulia/unampa hela kweli nyie akina dada shughuli ipo.
Mama yako yupo kijijini nguo ya ndani hana .
Uku mjini unahonga mpaka.
Nakuwanunulia wanaume simu mupiyaa.
Shauri yenu.
Mtakuja kulia .
Wanaume sio wakupewa vitu au wakusotewa eti ili uitwe mwanamke wa shoka wanaume hawajui umuhimu wa kitu yeye kilichombele yake.
Ndio saizi yake.
Good day.......
Sure hiii imekaa kimalaya Malaya .Umeanza vizuri lakin hapo kwenye "raha ya mwanaume kuchunwa" hiyo ni nothing but pathetic excuse
Kazi ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake na familia lakin sio iwe kuchunwa. Kama una uwezo unasaidia baadhi ya mambo. Si kulalia kwa mwenzako kisa unajiona una right ya kuteketeza hela yake for no apparent reason. Labda kama hiyo pesa haina mipango na kazi.
Otherwise una influence udangaji. Sasa ww utakuwa na tofauti gani na wadangaji wa huko nje?
Hii ni mindset ya kimalaya. Haifai kwa wale wanaotaka kuolewa
Umemalizia vizuri kabisa " MINDSET YA KIMALAYA"Umeanza vizuri lakin hapo kwenye "raha ya mwanaume kuchunwa" hiyo ni nothing but pathetic excuse
Kazi ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake na familia lakin sio iwe kuchunwa. Kama una uwezo unasaidia baadhi ya mambo. Si kulalia kwa mwenzako kisa unajiona una right ya kuteketeza hela yake for no apparent reason. Labda kama hiyo pesa haina mipango na kazi.
Otherwise una influence udangaji. Sasa ww utakuwa na tofauti gani na wadangaji wa huko nje?
Hii ni mindset ya kimalaya. Haifai kwa wale wanaotaka kuolewa
Hizi ni sampuli zile za wanawake wa kuliwa mbususu na kupewa kifuta jasho alafu kila mtu anakula njia yake Hadi hapo Tena utakapo jisikia umekimisi kidubwasha chake Tena.Happy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa shoka .
Ambaye unajitahidi kutafutia riziki nakujitunza mwenyewe so huna mpango wa kuomba hela kwa muhusika hiyo inaitwa UNAJIKOMBA NA WALA HATOJALI UNACHOFANYA.
Raha ya mwanaume kuchunwa kuchunwa kupewa majukumu.
Sio unamlipia kodi , unamlisha , unamvisha watoto unawasomesha yeye anapeleka hela wapi??
Na asubuhi unavyo mwandalia chai asubuhi anaenda kutafuta riziki ni yanani kwa sababu ipi.
Mwenzenu kafa kisa kujikomba alidhania kujituma hadi basi ndio zawadi kumbe hawara ndio kapewa nyumba na gari jipya.
Yeye kaachwa nyumba yakupanga.
Ya udongoo.
My intake acheni kujikomba mwanaume mpe majukumu ndio maana yupo duniani .
Anakuchafua/unamlisha/unamfulia/unampa hela kweli nyie akina dada shughuli ipo.
Mama yako yupo kijijini nguo ya ndani hana .
Uku mjini unahonga mpaka.
Nakuwanunulia wanaume simu mupiyaa.
Shauri yenu.
Mtakuja kulia .
Wanaume sio wakupewa vitu au wakusotewa eti ili uitwe mwanamke wa shoka wanaume hawajui umuhimu wa kitu yeye kilichombele yake.
Ndio saizi yake.
Good day.......
Chuna buziAlie soma aniambie kaandika nn?