Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Umepigwa mzinga... unaanzaje kuwaza kinachokwenda kununuliwa?? KAMA VIPI USINGOJEE KUPIGWA, WE JIPIGE TU MZINGA WA MAANA BASI... Uone kama atarudishaHabari za jioni wakuu...
Hii mada inawagusu dada zangu ambao wanapenda kupiga vimizinga vidogo vidogo ikiwemo kuanzia elfu kumi kuja chini.
Nasema hii hali ikome maana wengine mnatupa shida ya kufikiria hicho unachokwenda kununua.
Mi binafsi ukija kutaka kunishambulia na SMG, MMG, LMG, ROCKET LAUNCHER na hata RPG bado naona cha mtoto.
Unaweza kuniyumbisha kidoogo ukija na uwezo wa 75mm, 82mm na kuendelea...
Na kitu kingine niwashauri tu, ukiwa umemiliki mwanaume anaejielewa, usipende kupiga vimizinga vya salun mwambie akupe mtaji mfanye biashara acheni upimbi.
Kila vihela vidogo vidogo vinaboa, na wengi wao wanaopenda vimizinga vidogo vidogo ni hao hao wanaojifanya wamemaliza chuo.
Ni bora ukutane na binti aliemaliza darasa la saba na form 4 wanjielewa maana wanapenda kujishufhulisha kwa nguvu zao.
Nawakilisha...
Povu ruksa.
Haya karibu tena ...lakini jaribu kupiga mzinga wa maana sio kila siku elfu tano itakusaidia nini.Mimi siyo nabii ila, unamaisha ya tabu, kula yako ni ya shida, hata mchana umepiga pasi ndefu ndiyo maana imepelekea kuandika ubunuasi kama huu.
Kwani unapigaga mizinga? Maana hilo povu ni la kimarekani kabisaaa.... AHahahahahahaaMimi siyo nabii ila, unamaisha ya tabu, kula yako ni ya shida, hata mchana umepiga pasi ndefu ndiyo maana imepelekea kuandika ubunuasi kama huu.
Kamata nafasi mapema..Ngoja nikae kwanza hapa
Yajayo yanafurahishaNgoja nikae kwanza hapa
hujamboAsante kwa somo
Sijambo mzee wa Chelsea habari ya wewehujambo
Si umeona mmoja kaja na la omo.wapiga mizinga hawawezi kukuelewa ....
hahaaaSi umeona mmoja kaja na la omo.
Adjust kidogo mwaya na mie nipumzike kidogo hapa.Ngoja nikae kwanza hapa
Wewe tena,kaa tu mwaya tuone ya duniaAdjust kidogo mwaya na mie nipumzike kidogo hapa.
Na yaliopita hayafurahishi hata kidogoYajayo yanafurahisha