Wadada njooni tusemezane

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,971
Wadada tuzungumze kikubwa,
Hivi inakuwaje unatoka kwenu au kwako kwa miadi ya kwenda Kusex alafu ukishafika kwa bwana unaanza kujishaua shauaa wakati siku kablaa ya tukio mlikuwa mnachat namna mtakavyopeana show alafu unafika chumbani mnaanza tena story masaa mawili kama mnatongozana tena upya aaaagh mi binafsi kwa kweli siwezi

Nikishajua leo naenda kukutana na baby nikifika kwake jambo la kwanza ni kuvuaa makabrasha yote nabak na kanga peke yake ...baadaa ya hapo ntaanza kashi kashi utasema kambale wa mto rufiji,yaan nimeshika hapa nimegusa pale ,nimeokota hichi ,mara nifungue kanga nifunge tena,mradi tu tafrani huko ndani sio unafika masaa mawili umevaliaa ki skin jeans chako mpaka unakuja kuvuaa mzee kashakata steaam aaaaagh hebu acheni hizo bwanaa.....mapenzi yanahitaji ubunifu na maandalizi sio lazima mtiane madole zile mbwembwe tu za hapa na pale lazima mzee alegeee..............
Sio kila siku tuanzwe sisi tu na wao wanahitaji kufanyiwa utundu bwanaa raha ya penzi ni nipe nikupe!!
Usiku mwema wale wa kwaresma naombeni mpite mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…