Wadada wengi msimu huu wa kuelekea mwaka 2015 wamekuwa wakitumia picha hii na kwa utafiti niliofanya ni wale wenye majanga ya kuachwa achwa (vicheche) wanajisafisha kuelekea 2015

Ni kweli kabisa, kuna wadada wawili ninaowafamu wameachwa na wapenzi wao, tena mwingine ilibidi auze vyombo vya ndani ili alipie Kodi, nimeona kwenye fb wametumia picha hiyo.