I itula Member Joined Apr 23, 2017 Posts 19 Reaction score 10 Dec 4, 2018 #1 Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam)
Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam)
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,608 Reaction score 42,959 Dec 4, 2018 #2 itula said: Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam) Click to expand... Kwa nn unataka wawekeze kwenye dini badala ya viwanda?
itula said: Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam) Click to expand... Kwa nn unataka wawekeze kwenye dini badala ya viwanda?
I itula Member Joined Apr 23, 2017 Posts 19 Reaction score 10 Dec 4, 2018 Thread starter #3 Dini nayo ni kiwanda mkuu
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 14,221 Reaction score 25,993 Dec 4, 2018 #4 itula said: Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam) Click to expand... Wangewekeza kwenye kuzalisha watoto anakotaka Mheshimiwa Raisi, ila tatizo la mtoto wa kichina hadumu, kama vitu vyao tu
itula said: Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam) Click to expand... Wangewekeza kwenye kuzalisha watoto anakotaka Mheshimiwa Raisi, ila tatizo la mtoto wa kichina hadumu, kama vitu vyao tu
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 Dec 4, 2018 #5 itula said: Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam) Click to expand... Vipi, dini iko kwenye dira ya maendeleo yetu!
itula said: Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam) Click to expand... Vipi, dini iko kwenye dira ya maendeleo yetu!
TOEDSLOTH JF-Expert Member Joined Nov 3, 2018 Posts 781 Reaction score 1,490 Dec 4, 2018 #6 Maendeleo hayana chama
K kastro JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 1,011 Reaction score 631 Dec 5, 2018 #7 Hawa watu ni Hatari Sana wamekwisha teka uchumi WA TZ pia mashine zao za kamari kila kona na hasa baada ya kugundua udhaifu wa wa TZ kwenye michezezo ya kubahatisha!
Hawa watu ni Hatari Sana wamekwisha teka uchumi WA TZ pia mashine zao za kamari kila kona na hasa baada ya kugundua udhaifu wa wa TZ kwenye michezezo ya kubahatisha!
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,838 Dec 5, 2018 #8 hivi na sie tulituma mtu china kupanga foleni kupokea zawadi