Kuna watu wakiona wenzao wanabet roho zinawauma kweli!!mlitaka waende kwenye kahawa?sababu hakuna mtu mwenye ajira yake ambae anakaa kubashiri siku nzima.hao ndio wamepata kazi hapo waacheni mfanye yenu.
Ngoja msimu urudi nikaweke nikanunue mbao na kupiga bati nihamie nyumba yangu niliopata kwa kubashiri.
Kuna siku nilizungumzia hili wakaja watu wakasema hizo mashine zinalipiwa kodi kwa hiyo nchi inajiingizia kipato lkn hatujali hao wanaoumi ku bet kila niku kipato cha ni kidogo na bado wanatafuta maisha nafiki athari iangaliwe zaidi kwa wazawa watajikwamua vipi kimaisha haya mambo ya kuangalia kodi ninalipwa bila kujua watu ni tatizo