Napenda kusikia maneno yenu hasa ya kiingereza. Nichambulieni timu ya taifa SAO TOME PRINCIPE na mechi zake za kufuzu AFCON, hii ni kwa wachambuzi tu, wengne tuwe wasomaji.
Napenda kusikia maneno yenu hasa ya kiingereza... Nichambulieni timu ya taifa SAO TOME PRINCIPE, hii ni kwa wachambuz tu. wengne tuwe wasomaji...
ZINGATIENI TULE TUMISAMIATI