Wabongo mpooo! !!

Haufatilii tu mkuu tumejitangaza lig ya uingereza enz za msoga na hiz zama za chato tumejitangaza sana NFL ,city coaches za londoni yan full maserengeti ile tuzo hatukupewa kwa huruma tumejitangaza kuna watu wanachapa kazi
 
Waje rwanda kufanya nini ? Kuangalia zile sokwe mbili mlizonazo kwenye kapori kenu ?
Eti mnajisifu kuwa na milima mingi,ile sio milima,ni vijibonde vidogo vidogo
 
Unaweza nipatia aina ya tangazo la Tanzania kwenye NFL.
 
Sisi bila matangazo tutafika mbali tukitangaza tutafika mbali zaidi
 
Kwa iyo unataka kusema waache kununua Ndege waende Real Madrid wa sign mkataba Visit Tanzania ?
Pesa inayoweza kutokana na pato LA tangazo hilo linaweza kununua ndege kadhaa... Vivutio tunavyo
 
Waje rwanda kufanya nini ? Kuangalia zile sokwe mbili mlizonazo kwenye kapori kenu ?
Eti mnajisifu kuwa na milima mingi,ile sio milima,ni vijibonde vidogo vidogo
Samahani mkuu kwanini unatumia manguvu hivi kuwasema?
 
Wale mamluki wa Kagame aliokuwa anawapigia kelele mzee Mtikila kwa mbaaaali nawaona kwenye huu uzi. Kagame Kagameee nendeni kwenye forum za Rwanda msitujazie Server kisa huyo basha wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…