Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Kwa wale wanaoanza Maisha DSM Ninauza vitu vya ndani Jumla pamoja na appartiment. Nipo Tabata Kimanga mtaa wa Sundown; nimepanga nyumba ya sh.160000/kwa mwezi ina vyumba 2, sitting, jiko na choo ndani. KODI yangu inaisha mwezi wa 3- 2015 ila mimi nitahama kati ya tarehe 20-25 January au chini ya hizo tarehe. Hivyo nataka kumuachia mtu na vyombo vyote kitanda 1 cha 6*6 na godoro lake vipo ktk hali nzuri, friji, Tv philips ya zamani, king'amuzi, kabati la nguo, stand ya viatu, stand ya nguo, Sofa moja 2by2 na 2 single hali nzuri, na vyombo vya ndani vyote vya ndani na jiko kiujumla sitaki kubeba kitu. Offer ya miezi 2 miwili bure nitakuachia kwenye kodi karibuni. Kwa anayetaka anitafute 0756324094.