Wadau mm naumizwa sana na wizara ya elimu kushindwa kuvisimamia vyuo vyake vya ualimu kwa maana hii vyuo vingi vipo nje ya miji lakini unakuta chuo hakina mazingira mazuri ya kujisome kwa mfano chuo cha ualimu dakawa hakuna mnara hata wa simu kupiga simu kule ni tatizo majengo nikiimaanisha madarasa hakuna kuna mabaki ya stoo zilizojengwa kwa mabati magumu enzi izo za wakimbizi wa afrika ya kusini ndio yanatumika km madarasa wanafunzi wkt wa joto wanapata shida kwa joto kali hasa wakati wa mchana,hakuna internet km nilivyoeleza awali location ya hivi vyuo sasa mwanachuo anakosa hata kusoma gazeti ili ajue nn kinaendelea huko duniani internet ingewasaidia kupata si taarifa tu hata material ya kujifunzia maana hakuna hata maktaba mana iliyopo hakuna vitabu vya kutosha ni saw a na hakuna tu alafu tunasema BRN hivi hii nchi ina tatizo gani mwalimu huyu ndio tunataka akawafundishe watoto wetu mambo ya tehama wakati yeye mwenyewe hiyo tehama hajui ni kitu gani huu ni upuuzi na ujinga kwa mawazo yangu kwa hali hii hatutakuja kupata maendeleo kamwe kwenye hii nchi wizara inaleta mchezo kwenye mambo ya maana,sasa wanakuja na swala la kkk ooo watoto huko shule za msingi wanamaliza hawajui kusoma wala kuandika umebuniwa mradi wa kupeleka watu wakapewe semina mm naona ni kutaka kupiga Hera za walipa kodi wa nchi hii bure ivi kweli tatizo ni walimu kukosa ujuzi wa kufundisha au ni walimu wamekosa motisha mishahara midogo madaraja hawaoandishwi kero kibao alafu unategemea uyo mwalimu apoteze muda mtoto wa mtu wkt hajui kwake watakula nn.viongozi wetu hawana nia ya dhati ya kuwakomboa wananchi wanachofanya ni ubabaishaji tu
Hata korogwe TTC kipo poa sanaPole sana mkuu,NADHANI UNA BAHATI MBAYA SANA KWAMBA UMEENDA CHUO HICHO.NIJUAVYO MIMI VYUO VINGI VYA UALIMU VIKO VIZURI LICHA YA KASORO KADHAA.VINGINE VIMEJENGEKA KULIKO HATA UNIVERSITIES KADHAA.MFANO, UNGEENDA MARANGU TTC AU KRELUU, NADHANI UNGEFURAHI SANA.HATA KIGURUNYEMBE,MONDULI, BUTIMBA, MPWAPWA(JAPO MAJI SHIDA), MTWARA TTC.
Mm sio mwalimu ila najalibu kuleta picha ya madudu yanayofanyika vyuoni
Vyuo 35 hutaki unaacha.Nakupa kazi fanya utafiti mdogo uone ni vyuo vingapi mpaka muda huu vina access ya internet
Kwani unakwenda chuoni kupiga simu?
Nakupa kazi fanya utafiti mdogo uone ni vyuo vingapi mpaka muda huu vina access ya internet
nenda nachngwea ttc chozi litakutoka walimu wana maisha magumu kuliko tujuavyo
kwani wewe upo chuo gani lakn?
Ualimu ni wito, kaza buti.
nenda nachngwea ttc chozi litakutoka walimu wana maisha magumu kuliko tujuavyo
Tena Inaitwa Nachingumu