Ingia website ya kilimo www.kilimo.go.tz kisha download tangazo na form ya kujiunga,soma maelekezo uombe utalipia 20,000 bank tatizo hawajahandika website ya vyuo ila ukijua chuo cha kuomba fika nbc bank huwa ndiko 2nalipia ada hvyo watakua wanafahamu akaunti ya chuo husika,ungekua form 6 ningekushaur uje horti tengeru ila kwa form 4 najua kuna mati mtwara,kuna tumbi,kuna ktc moshi.Soma form inajieleza ndg.mimi niko horti tengeru nachukua dip ya horticulture ni nzuri ndugu ukimaliza cheti karibu