Jamani na mdogo wangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGL matokeo yake ni D ya GEOGRAPHY,E y ENGLISH, na E ya HISTORY..sasa naomba kujua chuo atakachoweza kupata diploma endapo NACTE watafungua.....