Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,013 Jul 20, 2016 #1 Sebule na chumba cha kulala chenye choo/bafu ndani yake vinapangishwa eneo tajwa hapo juu(ni Dar). Single au couples wanaoanza maisha vitawafaa sana. Maji na umeme vipo na iko ndani ya fence. Bei in Tsh 150,000 kwa mwezi. PM please.
Sebule na chumba cha kulala chenye choo/bafu ndani yake vinapangishwa eneo tajwa hapo juu(ni Dar). Single au couples wanaoanza maisha vitawafaa sana. Maji na umeme vipo na iko ndani ya fence. Bei in Tsh 150,000 kwa mwezi. PM please.