Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Safi sana mtoa post ''hakuna udalali'' nawashangaa wengine hawajielewi wanatumia wepesi wa jamii forums kuomba kod ya mwezi mmoja, na melo angeomba chake ?
Mbona mmepaka rangi ya parachichi
Jamani kwenye ujenzi muwe mnatafuta mafundi wenye weledi kidogo. Nyumba imekaa kama sijui kitu gani kila sehemu imejengwa vibaya milango mibaya, rangi ya ovyo, tiles za chooni utadhani kinyesi kimepakwa ukutani
Asante kwa ushahuri .. hapo ilipo inafanyiwa modifications
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimependa jibu lako haujapaniki wangekua wengine wangekasirika, kila la heri katika biashara yako
Okay vizuri maana imejengwa na fundi wa kiwango cha chini sana. Mkijenga nyumba muwe mnachukua watu wenye weledi sio kanjanja tu mitaani wanaharibu sana nyumba zetuAsante kwa ushahuri .. hapo ilipo inafanyiwa modifications , ndio maana hapo chini kama umeona kuna vifaa vya ujenzi, na cements ndani ya hicho choo..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Okay vizuri maana imejengwa na fundi wa kiwango cha chini sana. Mkijenga nyumba muwe mnachukua watu wenye weledi sio kanjanja tu mitaani wanaharibu sana nyumba zetu
Why pm na sio hapaNichek PM , tusaidiane kutafuta.. i hope utapata..
Sent from my iPhone using JamiiForums