Habari za vijiweni zitakuua na kukushushia hadhi yako. Hivi umeona watu wa kitengo watatumia njia mbovu hizi kukudaka.
Mtu anayetikisa serikali au utawala akamatwe kwenye nyumba ya kupanga kwa kodi ya 30000!!!! Hili tangazo ni kwa ajili ya walalahoi na vijana wa kizazi kipya.
Huwezi kuijua serikali hadi kwenye nyeti zake halafu uje kuishi kwenye vyumba vya 30000.