Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Feb 1, 2015 #1 Kodi miezi 6, kinondoni Ada estate.. 0718488595
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Feb 1, 2015 #3 Manka R said: Kodi miezi 6, kinondoni Ada estate.. 0718488595 Click to expand... Ni chumba na sebule au vinajitegemea? uzio, parking? mita ya kushare na wengine? maji yapo? niinbox picha kaka.
Manka R said: Kodi miezi 6, kinondoni Ada estate.. 0718488595 Click to expand... Ni chumba na sebule au vinajitegemea? uzio, parking? mita ya kushare na wengine? maji yapo? niinbox picha kaka.
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,733 Reaction score 5,252 Feb 1, 2015 #4 Watu mmewekewa hadi namba ya simu lakini mnaleta kuchamba kwingi.
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Feb 2, 2015 #5 Master plan said: Watu mmewekewa hadi namba ya simu lakini mnaleta kuchamba kwingi. Click to expand... ukimpigia anakwambia ukakione, uridhike usiridhike unamlipa!!!! hizo biashara sku hizi hakuna, weka details za kutosha nivutiwe ndiyo nikaone, hapo hata nisiporidhika ntakulipa kwa moyo mweupeee!
Master plan said: Watu mmewekewa hadi namba ya simu lakini mnaleta kuchamba kwingi. Click to expand... ukimpigia anakwambia ukakione, uridhike usiridhike unamlipa!!!! hizo biashara sku hizi hakuna, weka details za kutosha nivutiwe ndiyo nikaone, hapo hata nisiporidhika ntakulipa kwa moyo mweupeee!