KERO Vyoo vya Msingi Rubale Wilayani Kyerwa vimejaa, Serikali isadie wanafunzi kuepuka magonjwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
VYOO Katika Shule ya Msingi Rubale iliyopo kijiji Businde Kata Businde Wilaya ya Kyerwa Mkoani kagera vimekataa na kujaa kitu kinachofanya wanafunzi kukusaidia vichakani wazazi wamechagishwa hela Kila mzazi Mwenye Mwanafunzi Shuleni hapo TSH 4,500 na ambao hawakuchanga walikamatwa na Mtendaji wa Kijiji Businde na kuwaamuru walipie TSH 14500 zikiwemo za ofisi 10000 na 4500 licha ya kuchanga hizo hela ili Kumaliza vyoo vinavyoendelea Kujengwa Bado havijakamilika vyoo hivyo.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…